Taarifa Muhimu Bure
Reviewed by CIO on Aug 20, 2010 in Maoni na Mapitio | 0 comments
Downloads
 |
download: PC Construction and Management (1.80MB)
added: 18/07/2010
clicks: 1
description: PC Construction and management is a useful knowledge for any computer technicians and managers. It will enable you not only to learn how to construct an personal system but also make you able to manage and procure the systems for corporate and individual systems. The e book covers all areas starting from customer need analysis, step by step PC construction, troubleshooting the system using flow charting model, installing and configuring the operating system, and finally the information security concept, spread, prevention and mitigating computer disasters |
 |
download: Elimu ya ujasiriamali – Andiko la Mradi (100.20KB)
added: 18/07/2010
clicks: 0
description: Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea na kujibu kila swali linalohusu mradi mpya katika jamii. |
 |
download: Mwongozo wa maombi ya ruzuku – The Foundation Civil Society (1.36MB)
added: 18/07/2010
clicks: 5
description: Ndani ya mwongozo huuutapata maelezo juu ya nani anaweza kuomba ruzuku, nini tunakiangalia
katika kufikiria maombi husika, namna ambavyo maombi yako yatashughulikiwa, na namna ya
kujaza fomu ya maombi. Fomu za maombi zinapatikana katika lugha za Kiingereza na Kiswahili |
 |
download: Tabia saba za kiongozi bora – Usikose kitabu hiki muhimu (149.38KB)
added: 18/07/2010
clicks: 0
description: Kitabu hiki kinaonyesha jinsi gani mtu aweza kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora ni yule anatyeweza kwanza kujikomboa mwenyewe kifikra, kiuchumi, kiutamaduni, na katika nyanja zote za maisha. Kiongozi bora ia ni kiongozi anayeweza kuwaongoza wenzake (jamii nzima) kujikomboa kama yeye alivyojikomboa. |
 |
download: Katiba ya Uwaku – Bado haijakamilika– (47.42KB)
added: 18/07/2010
clicks: 7
description: Katiba ya uwaku ni mfano utakaokuwezesha kuandika katiba kwajili ya jumuiya, kikundi, chama au shirika la kijamii. Kwa maswali zaidi tuwasiliane |
 |
download: Vitabu vya fedha na utunzaji wake (175.90KB)
added: 18/07/2010
clicks: 0
description: Vitabu vya fedha ni vitu muhimu sana katika kufahamu, kufuatilia na kutadhmini biashara yako ili kuiboresha zaidi.
“mali bila daftari hupotea bila habari” ”
Biashara bila vitabu hufulisika bila habari pia” |
Maoni ya karibuni