Taarifa ya Taasisi, Bidhaa na Huduma Kwa Maamuzi Sahihi
Get Adobe Flash player

St. Aggrey College of Health Sciences – Mbeya , REG/HAS/116P, Chuo cha ufundi cha binafsi kilichopata usajili wa muda, Mbeya, Imeorodheshwa kupata uhakiki kamili5 Responses to St. Aggrey College of Health Sciences Mbeya

  • HELLO, NINGE PENDA KUFAHAMU FEE STRUCTURE YA CLINICAL MEDICINE NGAZI YA CHETI PAMOJA NA CHAKULA NA MAKAZI KWA MWAKA HUU AHSANTE.

  • Natamani kujiunga na chuo chenu hapo mbeya(saint aggreyschool) nimekuwa wa pili kuuliza kwamba kwa mwaka katika kozi ya laboratory science nishilingi ngapi,je sisi tunaotoka iringa form tuta pata sehemu gani! nawasilisha.

  • Natamani kujiunga na chuo chenu hapo mbeya ( st.Aggrey ) nqaomba kuuliza kozi ya laboratory technique ni shilingi ngapi? na kama kuna hosteli ni shilingi ngapi kama utaishi hosteli? na kama unatokea Iringa fomu zinapatikana wapi?

  • Jinsi ya kujiunga na chuo chenu…vigezo kwa diploma maabara…..fomu za kujiunga na chuo chenuna lini.watu wataanza kuaply..ada sh ngapi..nilimaliza six2009 nikapata S FLAT Katika combi ya PCB

  • i want to know fee structure for diploma of clinical medicine,
    is it included with meal.and.accomodation?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


*

Subscribe blog news
Aina zote