Comments
 1. timothy said on 4 September 2014 7:35 am:

  Tunaomba kufahanishwa kuhusu uchaguzi kwa wanafunzi wa diploma ya clinical medicine kwa waliomba moja kwa moja chuoni tunaomba tupewe taarifa.

 2. timothy said on 4 September 2014 7:58 am:

  Tunaomba website ya chuo iwe update kwa sababu tunaona kuna matangazo ambayo muda wake ulisha kwisha lakin bado yako kwenye new and update.

 3. Grace nyagawa said on 6 October 2015 9:24 am:

  Mm Nina chemistry d nabiology d naweza Pata kusoma certificate yamidwife (ukunga) ama naweza Pata cose yoyote yaafya chuoni kwenu

 4. SOSPETER said on 8 October 2015 9:29 am:

  naomba kufahamishwa jinsi gani tutapata join instruction form kwa wale tuliochaguliwa hapo chuoni kwenu?

Translate »
%d bloggers like this: