Tafsiri ya Ubora Tanzania

Utafiti

Tafiti zinazofanyika hapa zina nia ya kukusanya maoni ya watu juu ya bidhaa mbalimbali, huduma au watoa huduma ili kuchochea ubora. Hatuna haja ya kupata utambulisho; mapendekezo yako yatatosha. Kama utakosa bidha, huduma unayoipenda hapa, tafadhali tutumie maoni yako kwa njia ya ukurasa wa kuwasiliana au kutumia barua pepe; lembu.kivuyo at gmail.com. Tafadhali pia ambatanisha na maelezo ya kwa nini wewe unapendekeza bidhaa hizo, huduma au mtoa huduma. Pia eleza manufaa ya hiyo huduma, ptoa huduma au bidhaa kwa mlaji