Taarifa ya Taasisi, Bidhaa na Huduma Kwa Maamuzi Sahihi
Get Adobe Flash player
Tafuta kwa Aina/Browse by category

KARIBU KWENYE TOVUTI RASMI YA BORA TANZANIA

Taarifa za Bidhaa na Huduma

Bora Tanzania ni tovuti yenye lengo la kuorodhesha bidhaa na huduma
bora ili kuwasaidia walaji/watumiaji kufanya maamuzi sahihi kabla
hawajanunua.Kama unamiliki kiwanda, kampuni, shule, chuo au taasisi
yeyote ya kuzalisha bidhaa au kutoa huduma, tuma wasifu wa kampuni,
bidhaa, huduma yako hapa nasi tutakutangazia kwa uma wa wazungumza
kiswahili Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Zaire, Burundi, Zanzibar,
Zambia nk

– See more at: https://bora.co.tz/#sthash.350KpL9d.dpuf

Taarifa za Bidhaa na Huduma

Bora Tanzania is a website designed to capture and list quality rated product/services and corporate profiles to help consumer make the best choices while buying the services or products. You are invited to submit the services/product that you offer including your official business profile

Bora Tanzania ni tovuti yenye lengo la kuorodhesha bidhaa/huduma au taasisi bora ili kuwasaidia walaji/watumiaji kufanya maamuzi sahihi kabla hawajanunua. Kama unamiliki kiwanda, kampuni, shule, chuo au taasisi yeyote ya kuzalisha bidhaa au kutoa huduma, tuma wasifu wa kampuni, bidhaa, huduma yako hapa nasi tutakutangazia kwa uma wa wazungumza kiswahili Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Zaire, Burundi, Zanzibar, Zambia nk
Soma zaidi…

WELCOME TO THE OFFICIAL WEBSITE OF BORA TANZANIA

Kuhusu Bora Tanzania

Tatu Bora is your right choice for quality product/services related information that help you make informed decision before buying. We also aim to simulate the talents and pose challenges for quality improvement.

Tatu Bora Tanzania ni mtandao teule wenye kutoa taarifa bora kwa watumiaji, walaji na watoa huduma mbalimbali kwa Afrika mashariki. Lengo ni kuwasaidia walaji, watumiaji wa huduma, bidhaa katika kufanya maamuzi sahihi kabla ya kununua huduma au bidhaa. Pia inachangia katika kukuza vipaji na ubora wa huduma au bidhaa mbalimbali. Mtandao wa Tatu Bora Tanzania unakusudia pia kuwapa changamoto watoa huduma na wazalishaji wa bidhaa katika kuboresha….

Soma zaidi…

Downloads