Kuhusu Tatu Bora Tanzania

Tatu Bora Tanzania ni mtandao teule wenye kutoa taarifa bora kwa watumiaji, walaji na watoa huduma mbalimbali kwa Afrika mashariki. Lengo ni kuwasaidia walaji, watumiaji wa huduma, bidhaa katika kufanya maamuzi sahihi kabla ya kununua huduma au bidhaa. Pia inachangia katika kukuza vipaji na ubora wa huduma au bidhaa mbalimbali. Mtandao wa Tatu Bora Tanzania unakusudia pia kuwapa changamoto watoa huduma na wazalishaji wa bidhaa katika kuboresha viwango vya ubora hasa kwa mtizamo chanya wa walaji. Kama ikitokea kuna bidhaa ama huduma ambazo hazikutajwa hapa, tafadhali toa mapendekezo yako kwa kutumia dirisha la maoni au sehemu ya maoni chini kabisa ya kila ukurasa

Unaweza pia tuma huduma husika au bidhaa kwa kutumia dirisha la utafiti. Tunashukuru kwa kutembelea mtandao wa Tatu Bora Tanzania na karibu kupiga kura ya maoni, toa maoni yako au tuma tafiti mbalimbali kwetu nasi tutajumuisha katika mtandao huu kwa manufaa ya wengi

Translate »
%d bloggers like this: