Shule za Sekondari 10 Zilizoshika mkia Matokeo Kidato cha Sita 2017


16 July 2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Matokeo,Matokeo 2017,Mtokeo Kidato cha Sita 2017


Matokeo kidato cha sita ST Vicent TaboraShule za sekondari kidato cha sita zilizofanya vibaya na kushika mkia katika matokeo ya mtihani kidato cha sita yaliyotangazwa jana ni:

  1. Kiembesamaki (Unguja)
  2. Hagafilo (Njombe)
  3. Chasasa (Pemba)
  4. Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam)
  5. Ben Bella (Unguja)
  6. Meta (Mbeya)
  7. Mlima Mbeya (Mbeya)
  8. Shule ya Sekondari ya Mbeya (Mbeya)
  9. Al-Ihsan Girls (Unguja)
  10. St Vicent(Tabora).
Comments
Translate »
%d bloggers like this: