Taarifa ya Taasisi, Bidhaa na Huduma Kwa Maamuzi Sahihi
Get Adobe Flash player
Peruzi kwa kutumia Aina ya Post


St. Bhakita Health Training Institute ? Namanyere, REG/HAS/066, Private institution with full registration, Rukwa, Provisional

Walioona ni: (186)4 Responses to St. Bhakita Health Training Institute – Namanyere

  • Tunaomba kufahanishwa kuhusu uchaguzi kwa wanafunzi wa diploma ya clinical medicine kwa waliomba moja kwa moja chuoni tunaomba tupewe taarifa.

  • Tunaomba website ya chuo iwe update kwa sababu tunaona kuna matangazo ambayo muda wake ulisha kwisha lakin bado yako kwenye new and update.

  • Mm Nina chemistry d nabiology d naweza Pata kusoma certificate yamidwife (ukunga) ama naweza Pata cose yoyote yaafya chuoni kwenu

  • naomba kufahamishwa jinsi gani tutapata join instruction form kwa wale tuliochaguliwa hapo chuoni kwenu?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


*

Comment moderation is enabled. Your comment may take some time to appear.

Jiunge
Peruzi Shule/Chuo kwa Aina
Aina zote